Real Sociedad, Atletico na PSG Kwenye Mapambano ya Pointi Tatu

Pesa iko nje nje leo hii kwenye mechi za leo ndani ya Meridianbet kwani kila kitu unachotaka kipo hapa kuanzia Odds kubwa, machaguo zaidi ya 1000. Jisajili sasa na uanze safari yako ya ushindi.

LALIGA kuna mechi za kukata na shoka lakini sisi tutajikita kwenye mtanange wa Real Sociedad dhidi ya Atletico Madrid ya Diego Simeone ambao mechi mbili za mwisho kwenye mashindano yote wamepoteza.

Sociedad wanahitaji kupata ushindi wakiwa nyumbani huku wakiwa wameshinda mechi mbili kwenye 5 walizocheza huku tawkimu zikionesha kuwa mara ya mwisho kukutana Atletico waliondoka na ushindi. Je nani unampa nafasi ya kuondoka na pointi 3 siku ya leo pale Meridianbet?. Jisajili hapa.

Kila timu inataka kupata matokeo mazuri siku ya leo huku wakali wa ubashiri wakisema kuwa vijana wa Diego Simeone wao wanapenda kucheza mpira wa kujilinda zaidi hivyo inaweza ikawa ni mechi ambayo haina magoli mengi zaidi. Suka jamvi lako hapa.

Mkwanja mnono upo kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Ufaransa ambapo LIGUE 1 kutakuwa na mechi nyingi za kutengeneza jamvi, lakini ngoja tuangalie mechi ya bingwa mtetezi PSG ambaye atakuwa ugenini dhidi ya Brest ambao wanahitaji kupata ushindi wakiwa nyumbani.

PSG wameanza simu vibaya sana kwani kwenye mechi 3 ambazo wamecheza hadi sasa hawajafanikiwa kupata pointi tatu hivyo huenda hii ni mechi ambayo wanaenda kuitazama kwa jicho lingine kwani wanahitaji kusaka ushindi mnono kwenye mechi hii.

Vijana wa Luis wametoka kupata ushindi mkubwa kwenye UEFA ambao umewarudishia kujiamini kwoa kulekea mechi hii ya ligi, hivyo hii ni nafasi yao kuitumia vyema kuhakikisha wanapata ushindi wa kwanza.