Clara Luvanga Atembelea Yanga Baada ya Kusajiliwa Washington Spirit
Mshambuliaji wa Tanzania, Clara Luvanga, ametembelea klabu yake ya zamani ya Young Africans (Yanga), ikiwa ni muda mfupi baada ya kukamilisha uhamisho wake wa kihistoria kwenda Washington Spirit ya Marekani. Luvanga, ambaye alikulia katika mfumo wa Yanga Princess, amerejea katika mazingira ya klabu hiyo wakati akianza ukurasa mpya wa safari yake ya soka katika ligi…