Ratiba ya mzunguko wa 6 NBC Premier League

Hii hapa ratiba ya mzunguko wa 6 NBC Premier League:-Mashujaa FC vs Singida Black Stars, Septemba 9, 2026, Uwanja wa Lake Tanganyika.

Dodoma Jij FC vs Namungo FC, Septemba 11, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma

Polisi Tanzania vs Mbeya City, Septemba 12, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Coastal Union vs JKT Tanzania, Septemba 12, Uwanja wa Mkwakwani

Pamba Jiji FC vs TRA United, Septemba 13, Uwanja wa CCM Kirumba

Kagera Sugar vs Fountain Gate, Septemba 13, Uwanja wa Kaitaba

Yanga SC vs Geita Gold, Septemba 15, Uwanja wa KMC Complex

Azam FC vs Simba SC, Septemba 16, Uwanja wa Azam Complex

…

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, Moyo Wangu Unavuja Damu na Msichana wa Maisha Yangu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Msichana wa Maisha Yangu ni simulizi mpya ambayo inazungumzia nguvu ya ahadi na mabadiliko ya teknolojia ikiwemo matumizi ya AI. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.

Duniani kote kinapatikana mtandaoni bofya hapa Buy Book: Msichana wa Maisha Yangu by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar.