Umeshawahi kufikiria mchezo ambao kila sekunde helikopta inapopaa inaweza kufanya ushindi upande zaidi? Sasa safari hiyo imewasili kupitia Super Heli Premium, mchezo mpya wa kasino mtandaoni unaochanganya burudani, kasi na maamuzi ya papo kwa papo. Mchezaji anaingia kwenye raundi kwa kuchagua kiasi cha dau, kisha helikopta inaanza safari yake. Kadri inavyopaa, odds zinaendelea kuongezeka, hivyo mchezaji anatakiwa kufuatilia kwa umakini na kutumia chaguo la Cash-out pale anapoamua kuchukua ushindi wake.
Super Heli Premium imekuja na uhuru wa kucheza kwa njia tofauti, ikiwemo uwezo wa kuweka hadi dau mara tatu kwa raundi moja. Kwa kutumia kipengele cha Range, mchezaji anaweza kutengeneza dau kulingana na makadirio ya kizidishi ambacho anaamini helikopta itafikia. Mfumo hutoa odds kulingana na chaguo hilo. Hii inafanya kila raundi kuwa na mpango wake, huku mchezaji akiwa na nafasi ya kuchagua kiwango anachokiona kinaendana na dau lake.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kama unapenda changamoto ya kuchagua kati ya viwango viwili, Over/Under inaweza kuwa chaguo lako. Unachagua upande, kisha unaamua kama helikopta itapaa zaidi au chini ya kiwango hicho. Pia kuna 50% Cashout, kipengele kinachokupa nafasi ya kuchukua nusu ya ushindi unaowezekana baada ya helikopta kuanza kuruka, huku ukiendelea na sehemu iliyobaki. Hii inaongeza msisimko wa kufanya uamuzi wakati mchezo ukiwa tayari unaendelea.
Safari yenyewe pia inaweza kubadilishwa kwa kuchagua mandhari ya nchi ambazo helikopta itapita juu yake. Lakini jambo linaloweza kuleta gumzo zaidi ni hili hapa, mchezaji anayefanya cashout kwenye ushindi mkubwa anaweza kuibua ujumbe wa pongezi kwenye chat, hivyo ushindi mkubwa unaweza kuonekana kama tukio maalumu ndani ya mchezo. Ni sehemu inayoongeza ladha ya ushindani na kuwafanya wengine kufuatilia kinachoendelea.
Kwa wapenzi wa burudani za kasino wanaotaka kujaribu safari yenye kasi, Super Heli Premium sasa ipo tayari ndani ya Meridianbet. Ingia kwenye safari, chagua dau lako na fuatilia helikopta inapopaa.