AS Maniema Union vs Singida Black Stars

AS Maniema Union vs Singida Black Stars ni mchezo unaofuata kwenye ratiba katika Kombe la Shirikisho Afrika, hatua ya makundi.

Wababe hawa wawili watakuwa kazini DR Congo saa 10:00 jioni msako wa pointi tatu muhimu ikiwa ni hatua ya kusaka tiketi kutinga robo fainali.

Hussen Masanza, Ofisa Habari wa Singida Black Stars amesema kuwa wapo kamili kuwakabili wapinzani wao kutokana na maandalizi ambayo wamefanya.

“Tumefika salama DR Congo na maandalizi yamekamilika kwa asilimia kubwa ambacho kimebaki ni wachezaji kupambania pointi tatu uwanjani.

“Tupo tayari na benchi la ufundi linatambua kwamba Watanzania wanahitaji kuona tunapata matokeo mazuri kwenye mchezo wetu mgumu,”.

…

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, Moyo Wangu Unavuja Damu na Msichana wa Maisha Yangu. Kuvipata 0756 028 371.

Msichana wa Maisha Yangu ni simulizi mpya ambayo inazungumzia nguvu ya ahadi na mabadiliko ya teknolojia ikiwemo matumizi ya AI. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.

Kuvipata mtandaoni bofya hapa Buy Book: Msichana wa Maisha Yangu by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar.

Buy Ganzi ya Maumivu Book by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar

Moyo Wangu Unavuja Damu: https://selar.com/7901h4koj4