Crdb Bank Federation Cup 2026/2027: Raundi Ya Kwanza Kuchezwa Leo!
Mashindano ya CRDB Bank Federation Cup yanaendelea leo, Novemba 27, 2026, kwa michezo sita ya Raundi ya Kwanza katika viwanja mbalimbali nchini. RATIBA YA MECHI ZA LEO: Premium FC 🆚 Nyumbu FC 📍 Uwanja wa Shananga | Saa 10:00 jioni Magnet FC 🆚 Pan African 📍 Uwanja wa Maj Gen Mzee | Saa 10:00 jioni…