Wapenzi wa michezo sasa wanaweza kuwa karibu zaidi na taarifa wanazozipenda kupitia Meridian Sports App, jukwaa linalowaletea habari za michezo kutoka Tanzania na sehemu mbalimbali duniani. App hiyo inapatikana kwenye Google Play Store kwa watumiaji wa Android na App Store kwa watumiaji wa iOS.
Kwa upande wa soka, Meridian Sports App inawapa mashabiki nafasi ya kufuatilia taarifa kutoka kwenye ligi mbalimbali maarufu duniani.
Ligi hizo ni pamoja na EPL, LaLiga, Serie A, Ligue 1, Saudi Pro League pamoja na Ligi Kuu ya Tanzania Bara, huku habari muhimu za kila siku zikiendelea kupewa nafasi.
Pia, mashabiki wanaweza kufuatilia taarifa za michuano mikubwa inayokusanya timu bora kutoka mabara tofauti. Meridian Sports App inaangazia UEFA Champions League, Europa League na Conference League, pamoja na CAF Champions League na CAF Confederation Cup kwa upande wa soka la Afrika.
Zaidi ya matokeo na taarifa za mechi, Meridian Sports App inawaleta mashabiki karibu na maisha ya wachezaji. Kupitia App hiyo, mtumiaji anaweza kupata habari mbalimbali zinazohusu mastaa wa soka, ikiwemo matukio na shughuli zao nje ya uwanja.
Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema. Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Meridian Sports App haijaishia kwenye soka pekee. Wapenzi wa Basketball, Boxing, Tennis na Riadha pia wanaweza kupata taarifa zinazohusu michezo hiyo kupitia jukwaa hilo, na kufanya App kuwa sehemu inayokusanya habari za michezo mbalimbali katika eneo moja.
Kwa hiyo, kwa shabiki anayependa kujua kinachoendelea kwenye ulimwengu wa michezo, Meridian Sports App inatoa fursa ya kufuatilia taarifa kwa urahisi kupitia simu yako. Pakua Meridian Sports App kwenye Google Play Store au App Store na uwe karibu na habari za michezo kutoka Tanzania h
adi dunia nzima.