Matokeo ya mechi za Yanga SC NBC Premier League

Yanga SC ni vinara wa NBC Premier League 2026/27 wakipata ushindi wa asilimia 100 kwenye mechi ambazo wameshuka uwanjani kusaka pointi 3 muhimu. Hapa tumekuletea matokeo ya mechi 6 ambazo wameshuka uwanjani wakivuna pointi 18 kibindoni ndani ya uwanja namna hii:- Agosti 15,2026 Namungo FC 1-3 Yanga SC Agosti 20,2026, Yanga SC 4-1 Coastal Union…

Read More