Ratiba ya NBC Premier League leo na matokeo 2026/27

NBC Premier League kinaendelea na leo Novemba 21,2026 zinapigwa mechi kali 3 kwa wababe kusaka ushindi ndani ya uwanja.

Pamba Jiji FC vs Coastal Union, Uwanja wa Kirumba, saa 10:00 jioni.

JKT Tanzania vs Simba SC, Uwanja wa Mej.Gen.Isamuyo, saa 12:30 jioni.

Dodoma Jiji FC vs Fountain Gate, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma saa 3:00 usiku.

Matokeo ya NBC Premier League Novemba 20/2026

Polisi Tanzania 0-2 Yanga SC

Namungo FC 0-0 Mbeya City

Azam FC 2-4 Singida Black Stars.

…

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, Moyo Wangu Unavuja Damu na Msichana wa Maisha Yangu. Kuvipata 0756 028 371.

Msichana wa Maisha Yangu ni simulizi mpya ambayo inazungumzia nguvu ya ahadi na mabadiliko ya teknolojia ikiwemo matumizi ya AI. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.

Kuvipata mtandaoni bofya hapa Buy Book: Msichana wa Maisha Yangu by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar.

Buy Ganzi ya Maumivu Book by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar

Moyo Wangu Unavuja Damu: https://selar.com/7901h4koj4