Ratiba ya NBC Premier League leo na matokeo 2026/27
NBC Premier League kinaendelea na leo Novemba 21,2026 zinapigwa mechi kali 3 kwa wababe kusaka ushindi ndani ya uwanja. Pamba Jiji FC vs Coastal Union, Uwanja wa Kirumba, saa 10:00 jioni. JKT Tanzania vs Simba SC, Uwanja wa Mej.Gen.Isamuyo, saa 12:30 jioni. Dodoma Jiji FC vs Fountain Gate, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma saa 3:00 usiku….