FT:CFFA 0-4 Yanga SC

Yanga SC imepata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya CFFA katika mchezo wa mkondo wa Kwanza hatua ya pili Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Ni Oktoba 16,2026 pambano hili kali limepigwa kwa wababe hawa kukutana uwanjani katika dakika 90 za kazi mwanzo mwisho. Mabao ya Yanga SC yamefungwa na Toure dakika…

Read More

Fountain Gate Academy kuanzisha chuo cha michezo

Fountain Gate Academy Tanzania iko katika hatua za kuanzisha chuo cha michezo kitakachojulikana kama Fountain Gate Institute of Sports and Talent Development, ambapo tawi la kwanza linatarajiwa kufunguliwa Babati, Manyara, hivi karibuni. Kupitia taasisi hii, Fountain Gate Academy inalenga kuimarisha zaidi programu zake za michezo, hususan Football Development, kwa kuhakikisha vijana wanapata mafunzo ya kisasa,…

Read More