Singida Black Stars Yaichapa Azam Fc 4-2 Azam Complex, Chamazi
Singida Black Stars wameandika ushindi muhimu wa mabao 4-2 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Katika mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa, Azam FC walianza vizuri kwa kwenda mapumziko wakiwa mbele kwa mabao 2-1, kupitia Feisal Salum aliyefunga kwa mkwaju wa penalti dakika…