Doumbia kambini Afrika Kusini

Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Doumbia tayari amewasili kambini nchini Afrika Kusini kwa maandalizi ya mechi za kitaifa na kimataifa.

Doumbia ni ingizo jipya ndani ya kikosi cha Simba SC anatarajiwa kuwa miongoni mwa wachezaji watakaokuwa katika kikosi kitachowakabili Yanga SC.

Wababe hawa wawili wanatarajiwa kumenyana Oktoba 10, 2026 kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi unaosubiriwa kwa shauku kubwa.

Mbali na Doumbia nyota Oura naye amejiunga na kikosi kuendelea na maandalizi ya mechi zinazofuata kitaifa na kimataifa.

…

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, Moyo Wangu Unavuja Damu na Msichana wa Maisha Yangu. Kuvipata 0756 028 371.

Msichana wa Maisha Yangu ni simulizi mpya ambayo inazungumzia nguvu ya ahadi na mabadiliko ya teknolojia ikiwemo matumizi ya AI. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.

Kuvipata mtandaoni bofya hapa Buy Book: Msichana wa Maisha Yangu by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar.

Buy Ganzi ya Maumivu Book by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar