Lamine Yamal Aiongoza Hispania Kuichapa Croatia 4-1

Lamine Yamal ameendelea kuonyesha kiwango bora baada ya kuhusika moja kwa moja katika mabao matatu wakati Hispania ikiichapa Croatia kwa mabao 4-1 katika mchezo wa UEFA Nations League. Yamal alianza kwa kufungua akaunti dakika ya pili, kabla ya Marc Pubill kuongeza bao la pili dakika ya 31. Croatia ilifanikiwa kupata bao la kufutia machozi kupitia…

Read More