Hassan Mwakinyo Apoteza Kwa TKO Dhidi ya Michel Soro
Usiku wa kuamkia leo, mambo hayakwenda vizuri kwa bondia Hassan Mwakinyo aliyekuwa akiipeperusha bendera ya Tanzania, Abidjan, Ivory Coast kwa kuzipiga na bondia Michel Soro mwenye uraia pacha wa Ivory Coast na Ufaransa. Mwakinyo alipoteza kwa TKO katika raundi ya tisa kwenye pambano la uzito wa Middleweight la raundi 12 na kushindwa kubeba mkanda wa…