Huku mechi za leo zikiwa na ushindani wa kuvutia kabisa, na wewe una nafasi ya kupata pesa za kuvutia kwani tayari Meridianbet imeshaweka machaguo uyapendayo kwa kila mechi. Jisajili na ubeti hapa.
Anza kutengeneza mkwanja kwenye mechi ya Saudi Arabia dhidi ya Uruguay ambapo wakali wa ubashiri kwenye mtanange huu wanampa nafasi kubwa ya kushinda Uruguay kutokana ubora wa kikosi alionao kulinganaisha na Saudi.
Uruguay chini ya kocha mkuu Chini Marcelo Bielsa, imekuwa timu ambayo ikicheza soka la kuvutia kabisa hasa wanapofanya mashambulizi ya moja kwa moja jambo linalowafanya kuwa timu ngumu kukabiliana nayo, na kufanya timu pinzani kujipanga zaidi. Je nafasi ya Saudi kwenye mechi hii leo ni ipi? Jisajili hapa.
Saudi Arabia wao, lengo lao kubwa litakuwa kucheza kwa nidhamu kubwa na kuzuia kasi ya mashambulizi ya Uruguay. Saudi Arabia kwenye mchezo huu wa leo hawapewi nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi lakini wamewahi kuonyesha uwezo wa kushangaza dhidi ya timu kubwa katika mashindano makubwa, hivyo hawawezi kubezwa. Hivyo wanatarajiwa kujilinda na kuambulia kwa kushtukiza zaidi.
Tusua leo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Nani kuondoka na ushindi siku ya leo?. Meridianbet inakwambia kuwa Odds kubwa zinakungoja kwenye mechi hii ya leo. Bashiri hapa.
Na mechi ambayo itakuwa ikisubiriwa kwa hamu ni hii ya Ufaransa dhidi ya Senegal ambayo itapigwa saa 4:00 usiku huku nafasi kubwa ya kushinda pale Meridianbet wakipewa Wafarnsa kutokana na ubora wao.
Ufaransa ni moja ya zile timu 5 zinazopigiwa chapuo la kuchukua kombe hili, lakini pia ni Wanafainali wa michuano iliyopita kule Qatar. Kikosi hiki chini ya Didier Deschamps wamekuwa na mwendelezo mzuri wa matokeo hasa baada za michuano ile iliyopita. Wakiwa na wachezaji kama Kylian Mbappe, Dembele,
Kwa upande wa Simba wa Teranga yaani Senegal ni timu ambayo haiwezi kubezwa. Wawakilishi hao wa Afrika wamekuwa wakionyesha uimara mkubwa katika miaka ya hivi karibuni na wanajulikana kwa nidhamu yao ya ulinzi, nguvu za mwili na uwezo wa kushambulia kwa kasi.
Vijana hao chini ya kocha mkuu Pape Thiaw timu hiyo imekuwa hatari zaidi huku wakiwa na wachezaji wenye ubora akma vile Sadio Mane, Nicolas Jackson, Mendy, Koulibaly, Ndiaye na wengine wanatarajiwa kufanya vyema kwenye michuano hii.
Kwaujumla hii ni mechi ambayo inaenda kuwa ya kibabe zaidi na ya kuvutia kwani pointi 3 ni muhimu sana kwa timu zote mbili, kila timu inataka kuanza na ushindi. Je ni Mbappe au Mane kuondoka na ushindi?. Jisajili hapa.