NBC Premier League: Yanga SC bingwa, matokeo yote
NBC Premier League 2025/26 Yanga SC bingwa akifikisha pointi 75 huku Simba SC ikiwa nafasi ya pili na pointi 73. Tofauti ya pointi 2 kwa wababe hawa wawili. Haya hapa matokeo ya mechi zote ambazo zilikuwa mubashara Azam TV FT: JKT Tanzania 0-3 Yanga SC (Dube 8’, Maxi 50’, Depu 66’) FT Simba SC 1-0…