Simba Kupambana na Mbeya City Saa 8 Mchana Badala ya Saa 10
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza rasmi mabadiliko ya muda wa mchezo wa NBC Premier League kati ya Mbeya City dhidi ya Simba SC uliokuwa ufanyike Juni 17, 2026 saa 10:00 jioni. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mchezo huo sasa utapigwa siku hiyohiyo ya Juni 17 lakini kuanzia saa 8:00 mchana jijini Mbeya kutokana…