NBC Premier League 2025/26 Yanga SC bingwa akifikisha pointi 75 huku Simba SC ikiwa nafasi ya pili na pointi 73. Tofauti ya pointi 2 kwa wababe hawa wawili.
Haya hapa matokeo ya mechi zote ambazo zilikuwa mubashara Azam TV
FT: JKT Tanzania 0-3 Yanga SC (Dube 8’, Maxi 50’, Depu 66’)
FT Simba SC 1-0 KMC FC
FT: Azam FC 2-0 Dodoma Jiji (Ngita 67’, cHILAMBO 90’+)
FT: Mashujaa FC 0-1 Tz Prisons (Lulihoshi Heritier 90’p)
FT: Mbeya City 0-0 TRA United
FT: Coastal Union 2-1 Pamba Jiji.
FT: Fountain Gate 4-3 Singida BS (Henry 05’, Obasi 26’, Kindembile 66’, 67’ / Mossi 9’, 12’, 86’)
FT: Namungo FC 2-1 Mtibwa Sugar (Luzendaze 33’, Masawe 85’ / Evanc 01’)