Skip to content
Monday, August 24, 2026
  • Simba Yatangaza Meja Isamuhyo Kuwa Ngome Yake, Yafichua Ratiba ya Kimataifa
  • EPL na Serie A zatamba leo, Chelsea na Roma kuwania pointi tatu
  • Yanga Kushuka KMC Complex, JKT Tanzania Yawania Pointi Tatu
  • Newcastle Yashindwa Kuishinda Liverpool, Szoboszlai Aokoa Reds Dakika za Mwisho

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Simba Yatangaza Meja Isamuhyo Kuwa Ngome Yake, Yafichua Ratiba ya Kimataifa
  • EPL na Serie A zatamba leo, Chelsea na Roma kuwania pointi tatu
  • Yanga Kushuka KMC Complex, JKT Tanzania Yawania Pointi Tatu
  • Newcastle Yashindwa Kuishinda Liverpool, Szoboszlai Aokoa Reds Dakika za Mwisho

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2026
  • June
  • 30

June 30, 2026

  • Sports

NBC Premier League: Yanga SC bingwa, matokeo yote

Saleh2 months ago01 mins

NBC Premier League 2025/26 Yanga SC bingwa akifikisha pointi 75 huku Simba SC ikiwa nafasi ya pili na pointi 73. Tofauti ya pointi 2 kwa wababe hawa wawili. Haya hapa matokeo ya mechi zote ambazo zilikuwa mubashara Azam TV FT: JKT Tanzania 0-3 Yanga SC (Dube 8’, Maxi 50’, Depu 66’) FT Simba SC 1-0…

Read More
  • Sports

NBC Premier League matokeo ya mapumziko mechi zote 8

Saleh2 months ago2 months ago01 mins

JUNI 30,2026 ni funga kazi msimu wa 2025/26 ambapo mechi zote zinachezwa muda mmoja na mshindi anatafutwa mmoja, timu mbili zitashuka daraja moja kwa moja na mbili zitacheza mtoano. Matokeo yapo namna hii kwa sasa dakika 45 za mwanzo:- HT: JKT Tanzania 0-1 Yanga SC (Dube 8’) HT: Simba SC 0-0 KMC FC HT: Azam…

Read More
  • Uncategorized

Wasichana wa Kasekese Wanufaika na Msaada wa Meridianbet

Saleh2 months ago2 months ago02 mins

Katika kila jamii, maendeleo ya kweli huanza pale ambapo vijana na watoto wanapewa mazingira bora ya kufikia uwezo wao. Kwa kutambua ukweli huo, Meridianbet imeendelea kutekeleza miradi ya kijamii inayolenga kuleta mabadiliko chanya kwa jamii mbalimbali nchini. Safari hii, kampuni hiyo imeelekeza nguvu zake kwa wasichana wa kata ya Kasekese, Manispaa ya Wilaya ya Tanganyika…

Read More
  • Sports

Ivory Coast, Norway ni Vita vya Mbinu na Nguvu Raundi ya 32

Saleh2 months ago03 mins

Ivory Coast wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na rekodi nzuri ya ushindi wa mechi nne katika mechi tano za mwisho, na wameweza kufungwa mabao mawili tu katika mechi zote tatu za makundi. Lakini siri yao kubwa iko katika kuenea kwa mabao miongoni mwa wachezaji wao. Kocha Emerse Fae amejivunia kuwa ana wachezaji tisa wa kushambulia…

Read More
  • International
  • Sports

Rasmi! Enzo Maresca Kurithi Kiti cha Guardiola Manchester City

Saleh2 months ago2 months ago01 mins

Manchester City imemtangaza Enzo Maresca kuwa kocha mkuu mpya wa klabu hiyo, akichukua nafasi ya Pep Guardiola na kuanza rasmi enzi mpya katika kikosi hicho cha Ligi Kuu England. Maresca, mwenye umri wa miaka 46, amesaini mkataba wa miaka mitatu kuinoa City. Taarifa za kutangazwa kwake zilichelewa kutokana na mazungumzo kati ya Manchester City na…

Read More
  • International
  • Sports

Paraguay Yaiondosha Ujerumani kwa Penalti, Yaandika Historia Kombe la Dunia 2026

Saleh2 months ago02 mins

Paraguay imeandika historia kwa kuiondosha Ujerumani kwenye Kombe la Dunia 2026 baada ya kushinda kwa mabao 4-3 kwa mikwaju ya penalti kufuatia sare ya 1-1 ndani ya dakika 120 katika mchezo wa hatua ya 32 bora uliochezwa Foxborough, Marekani. Matokeo hayo yameifanya Ujerumani kupoteza kwa mara ya kwanza kabisa katika mikwaju ya penalti kwenye historia…

Read More
  • International
  • Sports

Brazil Yanusurika Kutolewa, Martinelli Aipa Ushindi wa Kishindo Yatinga 16 bora Kombe la Dunia

Saleh2 months ago2 months ago02 mins

Brazil imefuzu hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Japan katika mchezo wa hatua ya 32 bora uliochezwa kwenye Uwanja wa NRG, Houston, Marekani. Shujaa wa Brazil alikuwa mshambuliaji wa Arsenal, Gabriel Martinelli, aliyefunga bao la ushindi katika dakika ya tano ya muda…

Read More
  • Entertainment

Ushindi Wa Mapema Sasa Ni Halisi Kupitia Early Payout

Saleh2 months ago2 months ago02 mins

Katika ulimwengu wa michezo ya kubashiri, kuna jambo moja ambalo kila mchezaji hulitamani zaidi ya yote, ushindi. Hata hivyo, kwa miaka mingi, ushindi huo umekuwa ukihitaji uvumilivu mkubwa huku wachezaji wakisubiri dakika 90 za mchezo kuisha ili kujua hatima ya dau lao. Lakini sasa, Meridianbet imeamua kubadilisha simulizi hilo kupitia Early Payout, ubunifu mpya unaowapa…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.