Ratiba ya NBC Premier League

Ratiba ya NBC Premier League 2025/26 inaendelea kwa sasa ni mzunguko wa pili, lala salama ndani ya ligi namba 6 kwa ubora Afrika.

Ni mechi mbili zinatarajiwa kuchezwa Juni 16 itakuwa saa 10:00 jioni, Namungo  vs TRA United, Uwanja wa Majaliwa.

Saa 1:00 usiku, Azam FC vs Mashujaa FC, Uwanja wa Azam Complex.

Juni 17, 2026 Mbeya City vs Simba SC, saa 8:00 mchana

Singida Black Stars vs Dodoma Jiji FC, saa 10:15

Mechi zote hizi zitarushwa mubashara AzamSports1HD.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.