Ratiba ya NBC Premier League
Ratiba ya NBC Premier League 2025/26 inaendelea kwa sasa ni mzunguko wa pili, lala salama ndani ya ligi namba 6 kwa ubora Afrika. Ni mechi mbili zinatarajiwa kuchezwa Juni 16 itakuwa saa 10:00 jioni, Namungo vs TRA United, Uwanja wa Majaliwa. Saa 1:00 usiku, Azam FC vs Mashujaa FC, Uwanja wa Azam Complex. Juni 17,…