Home International MAJOGOO WASEPA NA KOMBE MUUAJI ACHEKELEA VIJANA

MAJOGOO WASEPA NA KOMBE MUUAJI ACHEKELEA VIJANA

KLABU ya Liverpool imetwaa ubingwa na  wa Carabao kwenye mchezo wa fainali dhidi ya Chelsea  Uwanja wa Wembley.

Katika dakika 90 za mwanzo ngoma ilikuwa ngumu wakati Liverpool ikicheza bila ya uwepo wa mshambuliaji wao nyota Mohamed Salah ambaye bado hajawa fiti.

Beki wa kazi ngumu Virgil van Dijk alifunga bao pekee la ushindi kwenye mchezo huo katika dakika 30 za nyongeza lililowamaliza mazima Chelsea.

Mwisho ubao ukasoma Chelsea 0-1 Liverpool huku beki huyo akisema kuwa furaha kubwa ilikuwa kuwaona wachezaji vijana zaidi wa timu yake wakiwa uwanjani kwenye fainali hiyo ngumu.

Previous articleUKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
Next articleWAARABU WAKISANDA SIMBA WAKUBALI MUZIKI WA YANGA