Home Sports WAARABU WAKISANDA SIMBA WAKUBALI MUZIKI WA YANGA Sports WAARABU WAKISANDA SIMBA WAKUBALI MUZIKI WA YANGA February 26, 2024 FacebookTwitterPinterestWhatsApp WAARABU wa Algeria kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hawakuwa na ujanja walipotulizwa kwa mabao 4-0 dhidi ya Yanga mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa jambo ambalo limeipa nafasi Yanga kutinga hatua ya robo fainali.