Manchester United Yatingishwa Tena na Taarifa za Mauzo ya Klabu
Kundi la wawekezaji kutoka Qatar lililowahi kujaribu kuinunua Manchester United halijawasiliana tena na uongozi wa klabu hiyo, licha ya taarifa zinazoendelea kusambaa kuwa baadhi ya familia ya Glazer wanataka kuuza hisa zao. Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali, hata kama kundi hilo lingefuatwa kwa ajili ya mazungumzo mapya, uwezekano wa kurejea mezani kuwasilisha ofa nyingine kwa…