Paredi la ubingwa Yanga SC laacha historia
Paredi la ubingwa Yanga SC Julai 4,2026 limeacha historia kutokana na burudani kutolewa kutoka kwa wasanii mbalimbali huku Dj Zee akitoa burudani. Ni Mohamed Hussen Zimbwe Jr beki bora wa muda wote ndani ya NBC Premier League alikuwa na jukumu la kuwapandisha wachezaji wa timu hiyo ambao walikuwepo Bongo. Miongoni mwa wachezaji hao ni Allan…