Ikiwa leo ni Jumamosi ya kwanza ya Mwezi July, Dunia inaenda kushuhudia mechi ya hadhi ya Nyota 5 kati ya Canada vs Morocco huku wote wakiwania nafasi ya kwenda Robo Fainali. Je nani kuendelea na safari kwenye michuano hii?
Leo hii kutakuwa na mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 bora kati ya Canada dhidi ya Morocco huku timu zote mbili zikiwa na matumaini makubwa ya kuandika historia mpya. Mchezo huu unawakutanisha wawakilishi wawili wa mabara tofauti wenye mitazamo tofauti ya soka, jambo linaloongeza mvuto wa pambano hili.
Canada imekuwa ikipewa sifa kwa maendeleo makubwa iliyoyafanya katika miaka ya karibuni. Tofauti na ilivyokuwa zamani, sasa ni timu inayojiamini inapokuwa na mpira na haioni hofu kuwashambulia wapinzani wake. Beti mechi hii na Meridianbet.

Katika mechi zao za awali za mashindano haya, Canada imeonyesha uwezo wa kubadilika kulingana na aina ya mpinzani. Imeweza kushinda mechi kwa kushambulia kwa kasi, lakini pia imeonyesha inaweza kuvumilia presha inapolazimika kujilinda ambapo hili linaweza kuleta ugumu kwa wapinzani wao.
Nafasi ya kuondoka na pesa ndefu ipo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Morocco wao safari yao imeendelea kuonyesha kwa nini wameendelea kuwa miongoni mwa timu zinazoheshimika duniani. Kikosi hicho hakitegemei nyota mmoja pekee, bali mfumo wa pamoja unaowafanya wachezaji wote kushiriki katika kushambulia na kujilinda. Wachezaji kama Hakimi, Saibari, Bono, Diop na wengine wengi wanwaeza kuleta matokeo wakati wowote ule.
Canada itahitaji kuzuia Morocco kumiliki mpira kwa muda mrefu, wakati Morocco itajaribu kupunguza kasi ya mchezo ili kuvunja kasi ya wapinzani wake. Timu itakayoshinda vita hii ya katikati ya uwanja itakuwa na nafasi kubwa ya kuutawala mchezo.
Taarifa zinasema kuwa nahodha wa Canada Alphonso Davies amerudi kutoka majeraha na tayari alitoa mchango muhimu katika ushindi dhidi ya Afrika Kusini. Ikiwa ataanza dhidi ya Morocco, kasi yake na uwezo wake wa kushambulia kutoka pembeni vinaweza kuleta tofauti kubwa kwenye mchezo huo.
Hii ni mechi ya wazi kwa pande zote mbili ambapo yoyote ambaye atakuwa amejipnga na kutumia nafasi zake vyema anaweza kushinda mechi hii. Nafasi ya wewe kuondoka na kitita cha mkwanja pia kipo, ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi hapa.