Msichana wa Maisha Yangu mezani Julai 10, 2026
Tatizo la ajira lilikuwa limeota sugu katika kichwa cha Steven ambaye awali kabla ya kufika Dar aliamini kila mtu mjini ana kazi nzuri na ana hela zakutosha. Alizunguka kila ofisi na bahasha yake ya khaki iliyokuwa na CV milango ilikuwa migumu mithili ya chuma cha pua. Aliitambua kuna siri nzito nzito kuhusu wadukuaji wa akaunti,…