Ni leo tena pale katika Dimba la Arlington ambapo mbele ya mashabiki kutashuhudia mpambano wa kukata na shoka kati ya Australia dhidi ya Misri huku kila timu ikitaka kumaliza kishujaa dakika zote 90.
Hii ni mechi ambayo si Australia au Misri ambaye anataka kupata ushindi wa kusonga mbele kwenye michuano hii. Timu zote mbili zimeonyesha uwezo wa kupambana katika hatua ya makundi na sasa zinakutana zikiwa na lengo moja tu kusonga mbele na kuendelea kuota ndoto ya kutwaa taji la dunia.
Australia imeingia katika hatua ya mtoano kwa kuonyesha sifa ya kutokata tamaa. Ni timu inayojulikana kwa kucheza kwa nidhamu ya hali ya juu, kutumia nguvu nyingi katika kupambana kwa kila mpira na kuwalazimisha wapinzani kufanya makosa.
Mara nyingi hujenga mashambulizi kupitia pembeni, huku wakitumia uwezo wa washambuliaji wao katika mipira ya juu na mipira ya adhabu. Mbinu hiyo inaweza kuwa silaha muhimu dhidi ya Misri, hasa ikiwa watafanikiwa kuisukuma timu hiyo kucheza ndani ya eneo lake kwa muda mrefu.
Pesa ipo leo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Wakati kwa upande wa Misri, nguvu yao kubwa ipo katika uwezo wa kusoma mchezo na kucheza kwa utulivu hata wanapokuwa chini ya presha. Mafarao wanapenda kumiliki mpira, kupunguza kasi ya mchezo pale inapobidi na kusubiri nafasi sahihi ya kufanya shambulizi la ghafla. Odds kubwa zipo Meridinabet.
Wana wachezaji wenye uwezo wa kupiga pasi za mwisho zenye ubora na wanaweza kugeuza mchezo kwa sekunde chache endapo Australia itapandisha mabeki wake kupita kiasi.
Matokeo pia yanaweza kuamuliwa na uwezo wa kila timu kutumia nafasi chache zitakazopatikana. Katika hatua ya mtoano, mara nyingi timu inayotumia nafasi yake ya kwanza vizuri ndiyo huondoka na ushindi. Aidha, benchi la ufundi na mabadiliko ya wachezaji kipindi cha pili yanaweza kubadilisha kabisa mwelekeo wa mchezo.
Mchezo huu unaweza ukawa na kila dalili za kuwa mgumu na wenye tahadhari nyingi, huku timu zote zikiepuka kufanya makosa ya kizembe. Endapo kutakuwa na mshindi ndani ya dakika 90, kuna uwezekano ushindi huo ukapatikana kwa tofauti ya bao moja pekee. Je Salah na wenzake watavuka hatua ya 16 bora leo?. Tandika jamvi mechi hii.