Hispania vs Austria: Vita Kali Kusaka Tiketi ya 16 Bora Kombe la Dunia
Sasa ni hatua ya mtoano imefika kwenye michuano hii ya Taji la Dunia ambapo timu moja pekee kuondoka na ushindi huo mkubwa Duniani. Je nani kupeperusha bendera ya Taifa lake? Leo hii Hispania vs Austria ni mechi ambayo inatrajiwa kuwa ya kiushindani sana kwani kila timu inahitaji kufuzu kwenye hatua ya 16, hivyo hii sio…