Yanga SC 3-0 TRA United, NBC Premier League
Yanga SC 3-0 TRA United ni matokeo ya mchezo uliochezwa leo Juni 27,2026 Uwanja wa KMC Complex ikiwa ni mzunguko wa pili. Mabao yote yamefungwa na kiungo mshambuliaji Allan Okello ambaye amefunga hattrick ilikuwa ni dakika ya 38, 51 kwa mkwaju wa penati na kamba ya tatu ilifungwa dakika ya 60. Kwenye mchezo wa mzunguko…