Hii hapa ratiba ya mechi zote leo NBC Premier League

NBC Premier League 2025/26 leo Juni 27, 2026 inaendelea huku mechi 8 zikitarajiwa kuchezwa kwenye viwanja tofauti.

Dodoma Jiji FC vs Mbeya City FC, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma

Tanzania Prisons vs Mtibwa Sugar, Uwanja wa Sokoine

Yanga SC vs TRA United, Uwanja wa KMC Complex

Mashujaa FC vs KMC FC, Lake Tanganyika, Kigoma

Pamba Jiji FC vs JKT Tanzania, Uwanja wa CCM Kirumba

Simba SC vs Singida Black Stars, Uwanja wa Meja Jeneral Isahmuyo.

Coastal Union vs Azam FC, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga

Namungo FC vs Fountain Gate, Uwanja wa Majaliwa

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.