Simba SC 2-0 Singida Black Stars
Simba SC 2-0 Singida Black Stars, NBC Premier League, Uwanja wa Meja Jeneral Isamuhyo ikiwa ni mzunguko wa 29, Juni 27,2026. Mabao yamefungwa na Ellie Mpanzu dakika ya 28 na Anicet Oura dakika ya 59. Kila kipindi kwenye mchezo limefungwa goli moja. Msimu wa 2025/26, Simba SC imepata ushindi nje ndani dhidi ya Singida Black…