FT: Mashujaa FC 0-3 Simba SC NBC Premier League
FT: Mashujaa FC 0-3 Simba SC ni matokeo ya mchezo wa NBC Premier League uliochezwa leo Mei 14, 2026 Uwanja wa Lake Tanganyika, mwisho wa reli Kigoma. Magoli ya Simba SC yamefungwa na Clatous Chama dakika ya 5 na dakika ya 70 huku kamba ya tatu ikifungwa na Seleman Mwalimu dakika ya 90+2. Matokeo haya…