Mashujaa FC vs Simba SC ni leo Mei 14, 2026 Uwanja wa Lake Tangayika, mwisho wa reli Kigoma kwa wababe hawa kusaka pointi tatu muhmu.
Kwa upande wa Simba SC ni Djibrilla Kassali ameanza langoni. Vedastus Masinde, Neo Maema, Duchu, Clatous Chama ambaye ni kiungo mshambuliaji.
Inno Loemba, Yusuph Kagoma, Libasse Gueye, Ismael Toure, Nickson Kibabage na Elie Mpanzu hawa wameanza kikosi cha kwanza.
Wachezaji wa akiba ni Naby Camara, Ladack Chasambi, Morice Abraham, Anicet Oura, Bashir Salum, Kante Allasane, Seleman Mwalimu, Semfuko Daud, Hussen Abel na Anthony Mligo.
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.