Kikosi cha Mashujaa FC vs Simba SC leo

MASHUJAA FC vs Simba SC NBC Premier League ni leo Mei 14, 2026, kikosi cha wenyeji kipo namna hii langoni ameanza Patrick Munthali. Wengine ni Mpoki Mwakinyuke, Samweli Onditi, Abdulnassir Assa, Salum Kihimbwa, Mgandila Shabani, Baraka Mtuwi, Kabasele Yusuph, Ismail Mgunda, Mohamed Salum na Samson Madeleke. Wachezaji wa akiba ni : Hassan Haji, Mapinduzi Balama,…

Read More

Yanga SC: Tulijua siku moja tutafungwa

MARA baada yakupoteza mchezo wa kwanza ndani ya NBC Premier League, uongozi wa Yanga SC umebainisha kuwa ulijua kuwa siku moja watapoteza mchezo. Mei 13, 2026 ubao wa Uwanja wa Airtel, Singida ulisoma Dodoma Jiji FC 3-2 Yanga SC ukiwa ni mchezo wa kwanza kwa mabingwa watetezi kupoteza ndani ya ligi msimu wa 2025/26. Timu…

Read More

H2H Mashujaa FC vs Simba SC NBC Premier League

Mashujaa FC vs Simba SC h2h rekodi kwenye mechi 5 ushindi ilikuwa ni kwa mnyama nje ndani tangu 2024-26 hivyo leo unatarajiwa kuwa mchezo wa 6. Licha ya Simba SC kupata matokeo bado ushindi wake kwenye mechi za ugenini kwenye mechi zote mbili umegotea goli moja pekee. Hivyo inamaanisha kwamba Lake Tanganyika sio sehemu nyepesi…

Read More