H2H Mashujaa FC vs Simba SC NBC Premier League

Mashujaa FC vs Simba SC h2h rekodi kwenye mechi 5 ushindi ilikuwa ni kwa mnyama nje ndani tangu 2024-26 hivyo leo unatarajiwa kuwa mchezo wa 6.

Licha ya Simba SC kupata matokeo bado ushindi wake kwenye mechi za ugenini kwenye mechi zote mbili umegotea goli moja pekee.

Hivyo inamaanisha kwamba Lake Tanganyika sio sehemu nyepesi kupata matokeo.Leo Mei 14, 2026 wababe hawa wawili wanatarajiwa kukutana saa 10:15.

29/01/2026, Simba SC 2-0 Mashujaa FC
02/05/2025, Simba SC 2-1 Mashujaa FC
01/11/2024, Mashujaa FC 0-1 Simba SC
15/03/2024, Simba SC 2-0 Mashujaa FC
03/02/2023, Mashujaa FC 0-1 Simba SC

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.