Simba SC 4-0 Tanzania Prisons

Simba SC 4-0 Tanzania Prisons ni matokeo ya mchezo wa NBC Premier League, Mei 10, 2026 uliokuwa na ushindani mkubwa. Magoli yakifungwa na Morice Abraham dakika ya 27, Clatous Chama dakika ya 41, Seleman Mwalimu dakika ya 43 na Ismail Traore dakika ya 61. Mwalimu alikosa penati dakika ya 11 baada ya Anthon Mligo kuchezwa…

Read More

Simba SC vs Tanzania Prisons kupigwa KMC Complex

Simba SC vs Tanzania Prisons kupigwa KMC Complex saa 1:00 jioni ukiwa ni mchezo wa NBC Premier League. Tayari viingilio vimetajwa ambapo mzunguko ni 10,000 na VIP 20,000 kushuhudia burudani ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba 6 kwa ubora. Kwenye msimamo Simba SC ni nafasi ya pili ikiwa na pointi 46 inakutana…

Read More

Yanga SC vs Coastal Union utachezwa mchezo mzuri

Yanga SC vs Coastal Union utachezwa mchezo mzuri leo Mei 9,2026 baada ya benchi la ufundi la wenyeji kubainisha hivyo. Wananchi ni mabingwa watetezi wanatarajia kuvaana na Coastal Union kwenye mchezo wa NBC Premier League, leo saa 12:15, Uwanja wa KMC Complex. Mchezo ulipita kwa Yanga SC ilipata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya KMC…

Read More

Real Madrid Yawatoza Faini Valverde na Tchouaméni

Real Madrid imeripotiwa kuwatoza faini ya euro 500,000 kila mmoja viungo wake Federico Valverde na Aurélien Tchouaméni kufuatia kuhusishwa katika mzozo uliotokea wakati wa mazoezi ya timu hiyo. Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali, wawili hao waliingia kwenye mabishano makali wakati wa mazoezi yenye ushindani mkubwa, kabla hali hiyo haijageuka kuwa ya vurugu na kuwalazimu makocha…

Read More

Ratiba ya NBC Premier League leo Mei 9

NBC Premier League inaendelea leo Mei 9 ambapo kuna michezo miwili mikali kwa wababe kusaka ushindi ndani ya uwanja. Saa 10:00 jioni, Singida Black Stars vs Mtibwa Sugar, Uwanja wa Airtel Saa 12:15, Yanga SC vs Coastal Union, Uwanja wa KMC Complex Ikumbukwe kwamba vinara wa ligi ni Yanga SC wakiwa na pointi 51 hawajapoteza…

Read More

TRA United Yaichapa Azam FC 4-1 Sheikh Amri Abeid, Arusha

Shughuli imehitimishwa katika dimba la Sheikh Amri Abeid Stadium ambapo TRA United wameonyesha ubabe wao kwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 4-1 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu. Mchezo huo uliokuwa na kasi na ushindani mkubwa ulianza kwa pande zote kushambuliana, ambapo Azam FC walitangulia kupata bao kupitia Japhet Kitambala dakika…

Read More

Mechi za Yanga SC NBC Premier League zilizobaki

Mabingwa watetezi NBC Premier League, Yanga SC wamebakiwa na mechi 9 kukamilisha msimu wa 2025/26. Hizi hapa mechi zijazo:- Tarehe Mechi Uwanja Mei 9, 2026 Yanga SC vs Coastal Union KMC Complex Mei 13, 2026 Dodoma Jiji FC vs Yanga SC Jamhuri, Dodoma Mei 22, 2026 Yanga SC vs Singida Black Stars KMC Complex Mei…

Read More