Yanga SC vs Coastal Union ni leo Mei 9, 2026 Uwanja wa KMC Complex saa 12:15 jioni.
Langoni katika kikosi cha kwanza ameanza Djigui Diarra mabeki ni Yao, Boka, Nondo na Bacca.
Viungo ni Duke Abuya, Maxi Nzengeli, Sheikhan Khamis, Allan Okello na Pacome huku mshambuliaji akiwa ni Prince Dube.
Wachezaji wa akiba Masalanga, SureBoy, Kibwana Shomari, Assink, Abdulnasir, Abubakar, Damaro, Farid Mussa, Mwanengo na Depu.
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.