Ratiba ya NBC Premier League leo Mei 9

NBC Premier League inaendelea leo Mei 9 ambapo kuna michezo miwili mikali kwa wababe kusaka ushindi ndani ya uwanja.

Saa 10:00 jioni, Singida Black Stars vs Mtibwa Sugar, Uwanja wa Airtel

Saa 12:15, Yanga SC vs Coastal Union, Uwanja wa KMC Complex

Ikumbukwe kwamba vinara wa ligi ni Yanga SC wakiwa na pointi 51 hawajapoteza mchezo ndani ya ligi wanakutana na Coastal Union iliyo nafasi 13 na pointi 22.

Mtibwa Sugar ipo nafasi ya 11 inakutana na Singida Black Stars iliyo nafasi ya 6 na pointi 32.

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.