Hospitali ya Kinondoni Yapokea Msaada Kutoka Meridianbet

Meridianbet imeendelea kuonyesha moyo wa huruma kwa jamii kupitia mchango wake mpya uliotolewa Hospitali ya Kinondoni chini ya programu zake za CSR.

Msaada huu ulitokana na ushirikiano wa karibu kati ya Meridianbet na uongozi wa hospitali, uliolenga kuboresha huduma za afya kwa wananchi wa Kinondoni na maeneo jirani.

Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Wakizungumza wakati wa tukio hilo, wawakilishi wa Meridianbet wakiongozwa na Nancy Ingram walisema sekta ya afya ni muhimu sana na inahitaji mshikamano wa pamoja ili kuimarika zaidi.

Hospitali ya Kinondoni ilipokea msaada huo kwa shukrani kubwa, ikieleza kuwa utasaidia kuboresha mazingira ya kazi na huduma kwa wagonjwa.

Meridianbet inaendelea kuthibitisha kuwa maendeleo ya biashara yanapaswa kwenda sambamba na kujenga jamii imara na yenye afya bora.