Dodoma Jiji FC vs Yanga SC H2H

Dodoma Jiji FC vs Yanga SC kwenye mechi ambazo wamekutana ushindi umekuwa ni mali ya mabingwa watetezi ndani ya dakika 90.

Haya hapa matokeo ya mechi zao ambazo zimepita ndani ya NBC Premier League:-

27/01/2026, Yanga SC 3-1 Dodoma Jiji FC
22/06/2025 Yanga SC 5-0 Dodoma Jiji FC
25/12/2024, Dodoma Jiji FC 0-4 Yanga SC
22/05/2024, Dodoma Jiji FC 0-4 Yanga SC
05/02/2024 , Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji FC
13/05/2023, Yanga SC 4-2 Dodoma Jiji FC
22/11/2022, Dodoma Jiji FC 0-2 Yanga SC
15/05/2022, Dodoma Jiji FC 0-2 Yanga SC
31/12/2021, Yanga SC 4-0 Dodoma Jiji FC

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.