Wakati mataifa makubwa duniani yakipambana kuwania ubingwa wa Kombe la Dunia 2026, Meridianbet imeleta mashindano yatakayowapa mashabiki nafasi ya kushinda zawadi kubwa kupitia kampeni ya “Mbabe wa Dunia.”
Kwa jumla ya zawadi zenye thamani ya TZS 100,000,000, huu ni wakati wa kufanya utabiri wako wa soka uwe na thamani zaidi kuliko hapo awali.
Kampeni hii imeundwa kwa ajili ya wale wanaoamini katika maarifa yao ya soka. Kila tiketi inayojumuisha mechi za Kombe la Dunia na kutimiza vigezo vilivyowekwa itakupatia pointi ambazo zitakusaidia kupanda kwenye msimamo wa washindi. Kadri pointi zako zinavyoongezeka, ndivyo unavyozidi kusogea karibu na zawadi zinazosubiriwa na mamilioni ya washiriki.

Ukubwa wa kampeni unaongezwa na zawadi zake za kuvutia. Kuanzia Bajaj kwa mshindi wa kwanza, pikipiki za Boxer-125, televisheni za Hisense 55”, simu za Samsung A26 hadi bonasi mbalimbali za michezo na kasino, Meridianbet imehakikisha kuwa ushindi wako unakuwa na thamani ya kukumbukwa hata baada ya Kombe la Dunia kumalizika.
Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kitu cha kuvutia zaidi ni kwamba huhitaji dau kubwa kuanza safari yako. Ukiwa na dau la kuanzia TZS 1,000 pekee na odds za chini za 2.50, tayari unakuwa sehemu ya mashindano. Zaidi ya hapo, kila kiwango kikubwa cha dau kinaweza kukuongezea pointi za ziada na kukupa nafasi nzuri ya kuwashinda washiriki wengine.
Kombe la Dunia hutokea mara moja baada ya miaka minne, lakini nafasi ya kuwa Mbabe wa Dunia inaanza sasa. Fungua Meridianbet, tengeneza tiketi zako za Kombe la Dunia, kusanya pointi na pambana hadi mwisho wa mashindano. Huenda tiketi yako inayofuata ndiyo ikawa tiketi ya ushindi wa zawadi kubwa unayoisubiri.