Brazil na Morocco Kukutana Katika Mchezo wa Kusisimua wa Kundi C
Nyota wa timu ya Taifa ya Brazil, Vinicius Junior, anatarajiwa kuwa mtu wa kuangaliwa zaidi wakati Brazil itakapofungua kampeni yake ya Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Morocco usiku wa kuamkia kesho. Mshambuliaji huyo wa Real Madrid amesema mashindano haya ni muhimu zaidi katika maisha na taaluma yake, hasa baada ya nyota mkongwe Neymar kuondolewa…