Dodoma Jiji FC vs Yanga SC H2H

Dodoma Jiji FC vs Yanga SC kwenye mechi ambazo wamekutana ushindi umekuwa ni mali ya mabingwa watetezi ndani ya dakika 90. Haya hapa matokeo ya mechi zao ambazo zimepita ndani ya NBC Premier League:- 27/01/2026, Yanga SC 3-1 Dodoma Jiji FC 22/06/2025 Yanga SC 5-0 Dodoma Jiji FC 25/12/2024, Dodoma Jiji FC 0-4 Yanga SC…

Read More

Mashujaa FC vs Simba SC tambo zatawala

MASHUJAA FC vs Simba SC NBC Premier Leagu Mei 13, 2026 saa 10:15 jioni tambo zimetawala kwa wenyeji kubainisha wapo tayari kwa mchezo huo. Kwenye msimamo Mashujaa FC ipo nafasi ya 9 ikiwa na pointi 26 inakutana na Simba SC iliyo nafasi ya pili na pointi 49 zote zimecheza mechi 22. Steven Ndorobo, Ofisa Habari…

Read More