Kama kuna mchezo inaotikisa mtaani sasa hivi basi ni Magic Wheel ya Meridianbet. Vijana kila kona wanapiga stori za nani ameshinda, nani amepiga mkwanja mkubwa na nani anajipanga kujaribu bahati yake tena. Expanse Studios wameleta mchezo wenye burudani ya tofauti kabisa, unaokufanya ushindwe kuachia simu yako hata dakika moja.
Kinachoufanya mchezo huu uwe maalum ni lile gurudumu kubwa lenye nafasi 56 zinazozunguka mbele yako kwa msisimko wa hali ya juu. Kati ya hizo kuna namba 53 za kawaida na nafasi 3 maalumu zinazoweza kubadilisha mchezo wote ghafla. Kila raundi ni kama nafasi mpya ya maisha, hujui itatua wapi mpaka gurudumu lisimame.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kucheza pia ni rahisi sana. Unachagua namba zako kati ya 1, 2, 6 au 11, unaweka dau lako halafu unasubiri gurudumu lifanye kazi yake. Dakika hiyo ndiyo inakuwa burudani yenyewe kwa sababu kila mzunguko unaweza kuwa mwanzo wa ushindi mkubwa. Huu sio mchezo wa kawaida, ni uzoefu ambao vijana wengi wameikubali fasta.
Halafu kuna bonasi ambayo imeongeza moto zaidi kwenye mchezo huu. Mabox matatu yanakuja mbele yako yakiwa na uchaguzi wa low, medium au high odds. Hakuna anayejua ndani kuna nini mpaka uchague box lako. Hapo ndipo bahati na maamuzi vinapokutana, na ukipatia unaweza kusepa na ushindi mzuri sana.
Meridianbet wameamua kuleta burudani yenye msisimko wa kweli kwa vijana wanaopenda kasi na ushindi. Kama unapenda changamoto, unafurahia msisimko na unatamani kujaribu bahati yako, basi huu ndio muda wako wa kuingia kwenye Magic Wheel. Jisajili sasa, zungusha gurudumu na uone kama leo bahati itasimama upande wako.