Hispania vs Austria: Vita Kali Kusaka Tiketi ya 16 Bora Kombe la Dunia

Sasa ni hatua ya mtoano imefika kwenye michuano hii ya Taji la Dunia ambapo timu moja pekee kuondoka na ushindi huo mkubwa Duniani. Je nani kupeperusha bendera ya Taifa lake?

Leo hii Hispania vs Austria ni mechi ambayo inatrajiwa kuwa ya kiushindani sana kwani kila timu inahitaji kufuzu kwenye hatua ya 16, hivyo hii sio mechi ya kimchezo mchezo huku tayari wakali wa ubashiri wamekuwekea machaguo zaidi ya 1000 kwenye mtanange huu.

Ralf Rangnick na vijana wake Austria ni timu ambayo wanajikita zaidi kwenye kujilinda zaidi yaani nidhamu ya hali ya juu, nguvu na kufanya pia mashambulizi ya haraka pale ambapo wanapata mpira kwani uwezo wao wa kumiliki mpira sio mkubwa ukilinganisha na ule wa mabingwa wa Ulaya.

Huku kwa upande wa Luis de la Fuente wao wanaingia kwenye mchezo huu akiwa na nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi kutokana na ubora wa wachezaji ambao wanao mpaka sasa kama vile Lamine Yamal, Olmo, Pedri, Oyarzabal, Rodri, Merino na wachezaji wengine ambao kwa pamoja wanaifanya timu hii kuwa tishio. Odds kubwa zipo kwenye mechi hii. Beti sasa.

Piga pesa leo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Ikumbukwe kuwa kule kwenye Kundi lao Austria walimaliza nafasi ya pili baada ya kujikusanyia pointi 4 ambapo leo hii wanatarajiwa kumzuia Mhispania kwenda hatua ya 16 bora wakiwa na wachezaji kama vile Konrad Laimer, Sabitzer, David Alaba, Schmid ambao hawa ndio mastaa wa timu hiyo.

Wakati Hispania wao wanahitaji huu mchezo kwa hali na mali kwani ni miaka 16 imepita toka wawe mabingwa ambapo ilikuwa ni 2010. Lakini pia timu hii ni moja ya zile timu 6 zinazopewa nafasi kubwa ya kuondoka na kombe hili mwaka huu.

Timu zikifika kwenye hatua hizi za mtoano hujipanga na huja na mbinu tofauti ilimradi iweze kuvuka kwenye hatua inayofuata ya mashindano haya. Mashabiki wengi Duniani wanasubiri kuona kama timu hii ya De la Fuente wanaweza wakafanya vyema kama ilivyokuwa kwenye michuano ya Euro.

Bashiri yako unaiweka kwa nani leo?. Vipi Austria anaweza akamzuia Hispania kwenda hatua inayofuata ya mahsindano haya makubwa Duniani?. Tengeneza jamvi lako la ushindi na ushinde siku ya leo.