Simba SC hesabu zimehamia CRDB Cup
BAADA ya kufunga msimu wa 2025/26 wakiwa nafasi ya pili na pointi 73, uongozi wa Simba SC umebainisha kuwa mpango mkubwa kwa sasa ni mechi ya fainali dhidi ya Azam FC. Simba SC ilifunga msimu wa 2025/26 kwa kupata ushindi wa bao 1-0 KMC FC uliochezwa Juni 30,2026 Uwanja wa KMC Complex. Ahmed Ally, Meneja…