Arsenal Yakubaliana na Aston Villa Kumsajili Ezri Konsa kwa Zaidi ya Pauni Milioni 50
LONDON: Arsenal imefikia makubaliano na Aston Villa kuhusu kumsajili beki wa England, Ezri Konsa, kwa ada inayozidi pauni milioni 50. Konsa, mwenye umri wa miaka 28, anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya kabla ya kukamilisha uhamisho wake kwenda Emirates Stadium. Arsenal ilianza tena mazungumzo na Aston Villa wiki iliyopita baada ya awali kushindwa kufikia makubaliano. Kwa…