Azam FC 2-0 Mashujaa FC
Azam FC wameibuka na ushindi kwenye mchezo wa mzunguko wa pili dhidi ya Mashujaa FC kwenye mchezo wa NBC Premier League uliochezwa leo Juni 16, 2026 Uwanja wa Azam Complex. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Azam FC 2-0 Mashujaa FC, magoli yakifungwa na Sadio Kanoute dakika ya 39 na James Akaminko dakika ya 41….